Leo majira ya saa nne asubuhi kumetokea mlipuko wa moto katika duka la kuuza simu lijulikanalo kwa jina la Sapna lililopo jijini Dar es Salaam. Pichani ni askari wa kikosi cha uokoaji wakiwa wamefika eneo la tukio kuhakikisha moto auendelei. Kwa mujibu wa meneja wa duka hili alisema kuwa moto huo ulitokana na umeme ila hakuna mtu aliyejeruhiwa.
 Viongozi wa duka hilo wakijaribu kubadilishana mawazo.
 Gari la zima moto likiwa eneo la tukio.
 Askari wakijadiliana cha kufanya.
Majadiliano yakiendelea ili kunusuru moto usiendelee.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: