Mpe Mwanamke attention, atakupa Moyo wake kiulaini kabisa bila kutumia nguvu! Ukimuongezea na Pesa hapo ndo anaitoa Roho yake rehani kuwa kama dhabihu ya kuteketezwa....
Attention is Key kama unataka kuteka hisia za Mwanamke. Wanawake wanapenda kusikilizwa, ule msemo wa Mteja ni mfalme unatumika sana zaidi unapokuwa na Mwanamke, mfanye awe Mshindi kwenye kwenye mabishano yenu hata kama unajua anaongea Pumba, wewe sikiliza mashudu yake halafu mwambie I love you more.
Msifie kapendeza hata kama unaona gauni lake la Karume limemkaa upande kama mama ntilie wa kishumundu wewe sifia tu, atajua umemuangalia alichovaa. Akiomba 5,00 ajiunge Extreme mpe 5,000 kabisa ya kujiunga BBM wiki nzima hata kama ndiyo hela pekee iliyokuwa mfukoni..
Utapendwa wewe mpaka Majirani waje kupiga chabo unatumia ujanja gani ukiwa kwenye KABAANG...cMwanamke attention.... Sasa Ole wako Aombe Dinner we unamwambia Arsene Wenger kaniudhi kweli chakula hakipandi, huo ndiyo mwanzo wa kuchokwa.
Kutoka kwa Mamaa G Waukweli.
Toa Maoni Yako:
0 comments: