Shirika la ndege la Fastjet kwa mara ya kwanza limeshiriki katika kudhamini mashindano ya Mbio za Nyika za Kilimanjaro Maarufu kama Kilimanjaro Marathon 2013 zilizofanyika mjini Moshi mwishoni mwa wiki iliyopita.
Wafanyakazi wa kampuni ya Fastjet wakiwa katika nyuso za furaha.
Wateja mbali mbali wakipitia banda la Fastjet lililokuwa limewekwa katika viwanja vya ushirika mjini Moshi ambapo mashindano ya Kilimanjaro Marathon yalipofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita.
Mmoja ya wafanyakazi wa shirika la ndege la Fastjet (kulia) akimpa maelekezo mteja aliyetembelea banda lao.
Wateja wakisoma vipeperushi ndani ya banda la shirika la ndege la Fastjet.
Mfanyakazi wa shirika la ndege la Fastjet (kushoto) akimpa maelezo mteja. Fastjet, Shirika la ndege la kwanza Afrika linalotoza nauli nafuu, zikiwa zinaanzia Tsh32, 000 (U$D20) kabla ya kodi za serikali.

Fastjet inafanya safari zake Dar es Salaam – Kilimanjaro na Dar es Salaam – Mwanza.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: