Meneja Uhusiano wa Airtel Jackson Mmbando (kulia) akimkabithi mshindi wa mwenzi January wa promosheni ya Amka millionea bi Agnes Hassan Chakame mfano wa hundi ya shilingi million 15 baada ya kuibuka mshindi wa promosheni ya Amka millionea na Airtel na kujishindia kitita cha shilingi million 15. Agnes ni Mkulima na mkazi wa Rufiji mkoa wa pwani. Akishuhudia ni Afisa uhusiano wa Airtel Jane Matinde.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: