Bunge limelazimika kusitisha shughuli zake hadi kesho kufuatia maamuzi ya bunge kuondoa hoja ya Mbunge wa Ubungo Mh. John Mnyika juu ya uboreshaji upatikanaji wa maji safi na ushughulikiaji wa maji taka katika jiji la Dar es salaam ambapo kufuatia kitendo cha kuondolewa kwa hoja hiyo wabunge wa kambi ya upinzani hawakukubali na kusimama wote kwa pamoja na kuanza kuzomea na kuimba. Fuatilia Taarifa ya Habari Kutoka ITV.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: