Padre Veri Mturushwe wa kanisa la Mtakatifu Ana lililopo Kinondoni Hananasif jijini Dar es Salaam akiwapaka waumini majivu ikiwa ni ishara ya kuanza safari ya kiroho ya mfungo na majuto kwa ajili ya maandalizi ya Pasaka lakini zaidi sana kwa ajili ya maandalizi ya maisha ya utakatifu milele.
Mamia ya waumini yalijitokeza kwa wingi kuhudhiria ibada hiyo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: