Mmoja kati ya wateja waliofika katika super markets za Jiji la Dar Es Salaam wakiwa katika meza ya kinywaji cha Redd's Original kujionea zawadi mbalimbali zinazotolewa kwa wateja wanaofika kwenye maduka hayo na kununua Redds sita kwa wakati mmoja.
 Mmoja kati ya wateja waliofika katika super markets za Jiji la Dar Es Salaam wakiwa katika meza ya kinywaji cha Redds Original kujionea zawadi mbalimbali zinazotolewa kwa wateja wanaofika kwenye maduka hayo na kununua Redds sita kwa wakati mmoja,Kushoto ni mmoja kati ya mabalozi wa Redds original akitoa maelezo ya kina juu ya kinywaji hicho.
 Moja kati ya wateja wa Redd's Original akifurahia Zawadi ya Chocolate mbili alizopata baaada ya kujinunulia chupa sita za Redds Original kutoka katika moja ya maduka makubwa jijini Dar es salaam ambapo Redds inaendesha promotion ya kipindi cha sikukuu ya wapendanao ambapo kilele chake ni tarehe 14/02/2013.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: