Mwimbaji wa bendi ya Mashauz Classic, Hashimu Said 'Mzee wa majanga akiimba wakati wa onesho lao lililofanyika katika bustani ya Magomeni Dar es salaam jana .Picha na www.burudan.blogspot.com
Mwimbaji wa bendi ya Mashauzi Classic, Rukia Jumaa kulia akiimba wakati wa onesho lao lililofanyika katika bushati ya Magomeni Dar es salaam jana kushoto ni Mpiga gita la Solo wa bendi hiyo Jumanne Ulaya Picha na www.burudan.blogspot.com
Mwimbaji wa bendi ya Mashauz Classic, Hashimu Said 'Mzee wa Majanga' akiimba kwa isia wakati wa onesho la bendi hiyo lililofanyika katika bustani ya Magomeni Dar es salaam jana nyimbo anayoimba ni tukio la kweli lililomtokea na kumfanya atunge nyimbo inayokwenda kwa jina la 'Mimi Mwanaume Bonge la Bwana' baada ya kuchomewa moto kila kitu cha ndani pamoja na nguo zake zote na mke wake wa ndoa  baada ya kuhitarafiana Picha na www.burudan.blogspot.com

Mwimbaji wa bendi ya Mashauz Classc, Rukia Jumaa akiimba wakati wa onesho la bendi hiyo Picha na www.burudan.blogspot.com
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: