Mshambuliaji Said Mohamed Zubeir "gaza" wa Bandari, jezi ya bluu ( kulia) akikokota mpira.
Hekaheka kubwa kwenye lango la Bandari kwenye uwanja wa Mao Tse Tung jana.
Mchezaji Haji wa Haji wa Malindi akimiliki mpira.
Masoud Ali Rashid wa Bandari (kushoto) na Yussuf Saleh wa Malindi wakipambana. Pambano la ligi kuu ya Grand Malt ya Zanzibar kati ya Malindi na Bandari, uwanja wa Mao Tse Tung mjini Zanzibar jana. Malindi 3 Bandari 1.
Picha na Martin Kabemba
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: