Kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Superior Financing Solutions Ltd akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuelezea juu ya udhamini wa programu maalum waliyoianzisha ya kupeleka wasanii wa filamu za bongo kuigiza nje ya nchi kwa lengo la kukuza sanaa hiyo hapa nchini. Pembeni ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Mad Mad Entertainment ya London nchini Uingereza, Yasmin Razak Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Simon Mwakifamba (wa pili kushoto), na Msanii wa Filamu na Vichekesho, Steven Mengele maarufu kama Steve Nyerere.
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Mad Mad Entertainment ya London nchini Uingereza, Yasmin Razak akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu programu maalum aliyoianzisha ya kupeleka wasanii wa filamu za bongo kuigiza nje ya nchi kwa lengo la kukuza sanaa hiyo hapa nchini. Pembeni yake ni  Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Simon Mwakifamba (wa pili kulia), na Msanii wa Filamu na Vichekesho, Steven Mengele maarufu kama Steve Nyerere (aliyesimama).
Wasanii wakifuatilia mkutano huo.
Waandishi wa habari nao wakifuatilia mkutano.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: