Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ripoti ya maendeleo ya Wilaya ya Uyui toka kwa mkuu wa Wilaya hiyo Mhe Lucy Mayenga wakati Rais alipowasili Tabora mjini kuendelea na ziara yake ya siku nne ya mkoa wa huo ambapo anazindua miradi kadhaa ya maendeleo ikiwemo barabara, daraja na maji.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ripoti ya maendeleo ya Wilaya ya Tabora Mjini toka kwa mkuu wa Wilaya hiyo Mhe Suleiman Kumchaya wakati Rais alipowasili Tabora mjini kuendelea na ziara yake ya siku nne ya mkoa wa huo ambapo anazindua miradi kadhaa ya maendeleo ikiwemo barabara, daraja na maji.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelzo ya ujenzi wa barabara ya Tabora-Ndono kabla hajazindua rasmi i ujenzi wa barabara hiyo akiwa katika ziara yake ya siku nne ya mkoa wa huo ambapo anazindua miradi kadhaa ya maendeleo ikiwemo barabara, daraja na maji.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikat utepe kuzindua rasmi ujenzi wa barabara hiyo akiwa katika ziara yake ya siku nne ya mkoa wa huo ambapo anazindua miradi kadhaa ya maendeleo ikiwemo barabara, daraja na maji.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mmoja wa wahandisi wa kutoka China waliopata kandarasi ya kujenga barabara baada ya kuzindua rasmi ujenzi wa barabara hiyo akiwa katika ziara yake ya siku nne ya mkoa wa huo ambapo anazindua miradi kadhaa ya maendeleo ikiwemo barabara, daraja na maji.
PICHA NA IKULU
Tunamshukuru sana Rais wetu kutuzindulia barabara hiyo maana hali ilikuwa mbaya na nadhani maendeleo ya Tabora yataanza kuonekana miundo mbinu ikiwa mizuri pamoja na maji safi ni tatizo kubwa tunmshukuru sana. Tunaomba wasimamizi wa miradi hiyo waisimamie vizuri ili iwe katika kiwango kizuri.
ReplyDelete