Mgambo wa Jiji la Dar es Salaam wakitekereza majukumu yao ya kuwakamata watu wanaokiuka misingi na maadili ya Mtanzania. Mgambo wa jiji la Dar es Salaam wakiondoka eneo la tukio mara baada ya kuwakamata akina dada hao wanaouza miili yao katika msako uliofanyika eneo la Sinza jijini Dar.
Mgambo wa jiji la Dar es Salaam wakiondoka eneo la tukio mara baada ya kuwakamata akina dada hao wanaouza miili yao katika msako uliofanyika eneo la Sinza jijini Dar.
Mmoja ya akina dada hao wanaofanya biashara ya kuuza miili yao akiwa amekurupushwa na kubaki na nguo ya ndani, hapo alikuwa akielekezwa kupanda gari.
 Akipanda gari.
Akina dada hao wanaouza miili wakijifunika sura zao mara baada ya kuona wanapigwa picha. Samahani sana kwa wasomaji wa mtandao wa Kajunason Blog kwa kuweka picha ambazo ni kali na si nzuri kimaadili licha ya kufanya kuwa ni fundisho kwa akina dada wengi wanaopenda kujidhalilisha kwa kufanya biashara haramu ya kuuza miili yao.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

9 comments:

  1. Huo ni uonevu mbona wanaume hawajakamatwa, umalaya una watu wawili, mnunuaji na mnunuzi. Pia hao mgambo walishindwa kumuacha huyo dada avae nguo badala ya kumdhalilisha hivyo? Au walikuwa wanakidhi tamaa zao kwa macho. Ni umi-sogonist unaowasukuma, ingekuwa maadili wangekamata jinsia zote husika.

    ReplyDelete
  2. Huo ndio uonevu maana kusoma wameso wengi wao lakini kazi hakuna

    ReplyDelete
  3. HATA NYIE MNAOSEMA NI UONEVU YENU MAMOJA.KULIKONI MNATETEA UKAHABA?

    ReplyDelete
  4. Kila dem ni kahaba nijinsi tui anavyouza

    ReplyDelete
  5. Kila mtu ni kahaba.inategemea ru unavyoendesha ukahaba wako

    ReplyDelete
  6. Kama hao mgambo ni wastaarabu kwa nini wasimwache huyo dada ajisetiri na nguo zake? Penye soko pana wanunuzi, wanunuzi wako wapi? Kukamata siyo jibu, wakamateni na muwape kazi mbadala. Wale waliokamatwa safari iliyipita wako wapi? Mbona hatujasikia kesi wala nini, au mnakwendaga kufurahisha macho yenu huko uwanjani?

    ReplyDelete
  7. acheni uhuni kila mschana nikahaba inategemea anamkahabia nan

    ReplyDelete