Marehemu Banda maarufu jina lake ambalo enzi hizo alipokuwa na akina Zembwela alikuwa akijulikana kwa jina la Max Prience (mwenye t-shirt na kofia nyekundu) akifurahia jambo. Nyuma yake ni Dudu Baya, AY (aliyevaa kofia) pamoja na mwanadada Ray C enzi zake wakati bado ni mtangazaji.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: