Mmoja ya wasemaji wa Ubalozi wa China Tanzania, Bi. Ao Mayun akielezea juu ya maadhimisho ya Mwaka Mpya wa China unaotarajiwa kuadhimishwa Feburuari 2, 2013 katika hoteli ya Golden Tulip na kilele chake kufanyika Februari 3, 2012 na viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Mwaka huu kauli mbiu ya maadhimisho hayo ni 'Focus On Africa' Huu ni mwaka wa nne kwa China kufanya maadhimisho yao hapa nchini Tanzania.
Mmoja ya wasemaji wa Ubalozi wa China Tanzania, Ao Mayu akifananua jambo mbele ya waandishi wa habari katika ukumbi wa habari maelezo jijini Dar. Pembeni yake ni Bi. Yang Fenglang pamoja na Bw. Ding Xian kutoka kituo cha Tanzania Chinese promotions kinachofundisha wawekezaji wa kichina lugha ya kiswahili.
Waandishi wa habari wakifuatilia mkutano huo.
Waandishi wa habari wakifuatilia mkutano huo.
Toa Maoni Yako:
0 comments: