Taa za gari hiyo zikiwa zimesambaa barabarani.
Ajali iliyotokea barabara ya Chole, Masaki jijini Dar es Salaam kati ya gari aina ya RAV4 yenye namba za usajili T 769 AZA na daladala ambalo liligonga gari hiyo kwa nyuma na kuiharibu. RAV4 hiyo ilikuwa ikiendeshwa na mwanadada ambaye mwenyezi Mungu aliweza kumsaidia akatoka mzima bila kujeruhiwa. Mpaka kamera yetu inaondoka eneo la tukio hakuna msaada wowote uliokuwa umepatikana. Picha na Buberwa Robert mdau wa Kajunason Blog.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: