Meneja wa Bidhaa wa Kampuni ya simu za mkononi ya Tigo Bulla Bona, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu ofa ya msimu wa sikukuu ya hudumuma ya Xtreme Pack itakayowawezesha wateja kupiga simu kwa gharama nafuu zaidi kwenye nchi 6, UK, USA, Canada, India, Hong Kong or China, dakika 5 kwaTsh 150, kulia ni Afisa uhusiano Msaidizi wa TigoTulli Mwaikenda
Waandishi wa habari wakiwa kazini kuchukua picha wakati wa kutangaza ofa hiyo jijini Dar es Salaam leo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: