Tamasha la uzinduzi wa albamu ya muimbaji Jesca Julius lililotarajiwa kufanyika jumapili ya leo katika Uwanja wa CCM Kirumba halikuweza kufanyika vizuri kutokana na mvua kubwa iliyonyesha jijini Mwanza nzima. Tamasha ambalo lilikuwa limehudhuriwa na waimbaji, (Masanja Mkandamizaji, Bahati Bukuku, Mapinduzi a.k.a Mzee wa Majeshi majeshi) pamoja na mchekeshaji wa EATV Mtanga.
Fundi mitambo toka Samira Sound akifunika vyombo ili visilowane na mvua ndani ya Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.

Shukrani kwa ushirikiano wako; http://unclejimmytemu.blogspot.com
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: