Msanii maarufu wa filamu nchini, Elizabeth Michael a.k.a LULU, (Katikati), akielekea kupanda basi la magereza kwenye viwanja vya mahakama ya hakimu mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, baada ya kesi inayomkabili ya kutuhumiwa kumuua msanii mwenzake, Hayati Steven Kanumba, kuahirishwa tena na hivyo mwanadada huyo ambaye umri wake unaleta utata ataendelea kusota rumande hadi hapo kesi yake itakapotajwa tena.
LULU akielekea kupanda gari tayari kwa safari ya Segerea kunako mahabusu. PICHA NA K-VIS BLOG.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: