Rosemary Mizizi pamoja  na Mwanamke na Nyumba wanapenda kukutaarifu wewe mwanamke uliye ndani ya ndoa, mwenye mchumba, na mwanamke yeyote anayetegemea siku moja kuingia kwenye ndoa kwamba wameandaa Diva's Life and Bedroom Talk, huku kuna kufundwa kutakuwa na kungwi anayeongelea maswala yanayohusu mwanaume wako na chumbani kwako kwa uwazi zaidi sio kama tulivyozoea kwenye kitchen party watu huongelea kwa mafumbo pale kila kitu kinawekwa wazi, pamoja na maongezi ya nyumba na ndoa kwa ujumla.
 
Kiingilio ni 30,000/= ambapo utapewa na dira ambalo ndio sare ya shughuli pamoja na kadi yako ya mwaliko hautaruhusiwa kuvaa kitu kingine chochote zaidi ya hilo dira la sivyo hutaruhusiwa kuingia kwenye shughuli kutakuwa na snacks na vinywaji mpaka uji wa kungu na uji wa nazi ushindwe mwenyewe, rusha roho na taarabu zitatawala siku hiyo huku tukionyeshwa mashamsham na kungwi..hii sio ya kukosa karibuni tukazie uwanamke wetu

Kwa mawasiliano zaidi;

Rosemary Mizizi
Mobile: 0717 019320
BBM Pin: 23A0C2B4
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: