WASAFIRI WA SHIRIKA LA RELI NCHINI (TRC) WAKIFURAHIA KUONDOKA KATIKA STESHENI YA MOROGORO BAADA YA KUKWAMA KWA MASAA TISA KUANZIA SAA 7:45 USIKU SEPTEMBA 19/2012 KUFUATIA INJINI YA TRENI ILIYOWASAFIRISHA KUTOKA MIKOA YA BARA KUHAMISHIWA KATIKA TRENI ILIYOKUWA IKITOKEA JIJINI DAR ES SALAAM KWENDA MIKOA YA BARA KUWA NA HITILAFU  KATIKA INJINI AMBAPO WALIONDOKA MKOANI MOROGORO MAJIRA YA SAA 4 ASUBUHI JUZI. HAPA ABIRIA WAKIPANDA TRENI HIYO KABLA YA KUANZA SAFARI YA KUELEKEA DAR ES SALAAM.
Baadhi ya abiria wakiwa wamekaa ndani wakisubiri kuondoka katika stesheni ya Morogoro.
Kundi la wasafiri wakielekea kwa mkuu wa Wilaya ya Morogoro Saidi Amanzi kwa la kueleza kero zao.
Adha ya usafiri abiria akiwa na mtoto na mizigo huku hana la kufanya.
Hali halisi huwa ni hivi...
Abiria wakijadili machache kujua hatima ya safari yao.
Huku ndiyo huwa behewa la Third ambapo watu hukaa kwa kuangalia.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: