Bondia Selemani
Kidunda kulia akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa kituo cha
televisheni ya Mlimani walipotembelea mazoezi ya timu ya taifa ya
masumbwi yanaoendelea katika viwanja vya GYM Khana Picha na www.superdboxingcoach. |
Kocha wa ngumi Hassani Mzonge katikati akioneshana ufundi wa kutupiana masumbwi na Undule Langson wakati wa mazoezi ya timu ya taifa kulia ni Abdallah Kasimu Picha na www.superdboxingcoach. |
Kocha wa ngumi Hassani Mzonge katikati akioneshana ufundi wa kutupiana masumbwi na Undule Langson wakati wa mazoezi ya timu ya taifa kulia ni Abdallah Kasimu. |
Undule Langsonkushoto na Abdallah Kasimu wakioneshana uwezo wa kutupiana masumbwi wakati wa mazoezi ya timu ya taifa |
Toa Maoni Yako:
0 comments: