Mheshimiwa Mark Mwandosya akitoa Heshima za Mwisho
 Mheshimiwa Dr. Slaa akitoa Heshima za mwisho

 Ndugu jamaa na Marafiki wakitoa Heshima za Mwisho
Mke wa Marehemu akitoa heshia zake za Mwisho
Mke wa Marehemu Daudi Mwangosi akilia kwa Uchungu Muda huu
 Maelfu ya  watu wakiongezeka kuja katika Mazishi ya mwandishi wa habari wa Chanel 10 Daudi Mwangosi Muda huu
 Mheshimiwa Mark Mwandosya ambaye ni Waziri ofisi ya Rais na pia Mbunge wa Rungwe Mashariki akitoa salam kwa Niaba ya Serikali. 

 Baadhi ya Waandishi wa Habari wakiwa wenye majonzi Makubwa
PICHA NA MBEYA YETU BLOG.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: