Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akijumuika na waumini wa dini ya Kiislam, katika swala ya
Magharibi wakati alipojumuika na waumini hao katika Futari ya pamoja
aliyowaandalia na kufuturu nao Migombani Unguja mjini Zanzibar
jana Agosti 01, 2012.
Wake wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama
Zakhia Bilal (wa pili kulia) na Mama Asha Bilal (katikati)
wakijumuika na waumini wa dini ya Kiislam, wakati wa futari ya pamoja
iliyoandaliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, kwa waumini hao iliyofanyika
Migombani Unguja, mjini Zanzibar jana Agosti 01, 2012.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya Waumini wA dini ya
Kiislam, baada ya kufuturu nao futari ya pamoja aliyowaandalia
Migombani Unguja mjini Zanzibar jana, Agosti 01, 2012.
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha
Bilal, akipiga picha ya pamoja na baadhi ya kinamama, baada ya
kushiriki nao katika futari ya pamoja iliyoandaliwa na Makamu wa Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
iliyofanyika jana Migombani Unguja mjini Zanzibar.
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Zakhia
Bilal, akipiga picha ya pamoja na baadhi ya kinamama, baada ya
kushiriki nao katika futari ya pamoja iliyoandaliwa na Makamu wa Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
iliyofanyika jana Migombani Unguja mjini Zanzibar. Picha na Muhidin
Sufiani-OMR
Toa Maoni Yako:
0 comments: