WATU 11 ambao raia wa Kenya wlifariki dunia papo hapo, huku wengine saba wakiwa mahututi baada ya mabasi waliyokuwa wakisafiria kutoka Nairobi kwenda Dar es Salaam (mwezi uliopita) kupata ajali katika Mto Wami mkoani Pwani. Mbali na vifo hivyo, ajali hiyo pia ilisababisha majeruhi 25 na saba kati yao waliripotiwa kuwa mahututi na walipelekwa katika Hospitali ya Tumbi, Kibaha kwa matibabu.
Ajali hiyo ilitokea katika Kijiji
cha Makole, wilayani Bagamoyo wakati abiria hao ambao ni wanakwaya
walipokuwa wakisafiri kutoka Kenya kwenda Dar es Salaam kushiriki katika
tamasha la uimbaji.
Ajali hiyo ilitokea jana saa 11 alfajiri ikihusisha magari manne, mawili kati yake yakiwa ni mabasi hayo yakitokea Kenya na malori mawili ya hapa nchini.Tukio hilo pia lilifunga Barabara Kuu ya Chalinze - Segera kwa zaidi ya saa nane hivyo abiria waliokuwa wakisafiri kuelekea na kutoka mikoa ya Kaskazini ikiwamo nchi ya Kenya kwenda na kutoka Dar es Salaam kukwama.Picha hizo zinaonyesha mabasi hayo ambayo mpaka sasa yapo kituo cha polisi Wami.

Likiwa limegongwa kwa mbele...
Aha...
Toa Maoni Yako:
0 comments: