Makamuwa
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akimnadi Mgombea wa nafasi ya Uwakilishi wa Jimbo la Bububu,
Hussein Ibrahim Makungu (BHAA) wakati alipokuwa akizindua Kampeni za
uchaguzi mdogo wa Jimbo hilo, uliofanyika kwenye Uwanja wa Geji,
mjini Unguja jana Sept 02, 2012.
Makamuwa
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiwahutubia wananchi wa mjini Unguja-Zanzibar, wakati
alipokuwa akizindua Kampeni za uchaguzi mdogo wa Jimbo hilo,
uliofanyika kwenye Uwanja wa Geji, mjini Unguja jana Sept 02, 2012.
Mbunge
wa Iramba Mwigulu Nchemba, akimvisha Skafu ya Bendera ya Tanzania,
Mgombea wa nafasi ya Uwakilishi wa Jimbo la Bububu, kupitia CCM,
Hussein Ibrahim Makungu (BHAA) ikiwa ni ishara ya heshima kuvua
utambulisho wake na kumtunuku mgombea huyo, wakati wa sherehe
za uzinduzi wa Kampeni za uchaguzi mdogo wa Jimbo hilo, uliofanyika
kwenye Uwanja wa Geji, mjini Unguja jana Sept 02, 2012.
Mashabiki
na wanachama wa CCM, wakishangilia na kufurahia hotuba ya Mhe. Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, wakati alipokuwa akiwahutubia wananchi hao kwenye sherehe za
uzinduzi wa Kampeni za uchaguzi mdogo wa Jimbo hilo, uliofanyika
kwenye Uwanja wa Geji, mjini Unguja jana Sept 02, 2012.
Mbunge
wa Iramba, Mwigulu Nchemba, akizungumza na kutema cheche wakati wa
uzinduzi wa kampeni hizo.
Msanii
wa muziki wa Taarab, na mkurugenzi wa kundi la Taarab la Jahaz Modern
Taarab, Mzee Yusuph, akishambulia jukwaa kwa vibao vyake vya sebene
la Taarab, wakati wa sherehe za uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mdogo
wa Jimbo hilo, uliofanyika kwenye Uwanja wa Geji, mjini Unguja jana
Sept 02, 2012. Picha na OMR
Toa Maoni Yako:
0 comments: