YULE Askari jasiri
Donald Julius Mathew mwenye namba za polisi F 3276 aliyejitokeza
hazarani na kuwaataja askari amekufa akidaiwa kujinyonga alifajiri ya
kuamkia leo wenzake wa mkoani hapa akiwashutumu kwa mambo mbali mbali
ya kiwemo ya kushirlikiana na waharifu.
Leo saa 11 Alfajiri mwili wake ulikutwa ukining'inia juu ya mti uliopo jirani na daraja la Shani katikati ya mji wa Morogoro akidaiwa kujinyonga. Kabla ya kufika uamuzi huo baadhi ya wananchi wa mkoani hapa jana mchana walimshuhdia Afande huyo ambaye ni maarufu kwa jina la Dunga akilanda landa kwenye mtaa ya mji wa Morogoro huku akionekana kama mtu aliyechnganyikiwa. Shukrani kwa ripota Paul Kwere wa Kajunason Blog kutoka mjini Morogoro.

Toa Maoni Yako:
0 comments: