Tanzanian
Muslim Community Washington Metropolitan (TAMCO) jana Jumapili katika
Mwenzi mtukufu wa Ramadhani wafutarisha pamoja na kuwaombea Dua Jamaa
wote waliotangulia mbele ya haki.
Waumuni
wakiwa kwenye kisoma pamoja na futari hiyo ilifanyika katika ukumbi wa
Hillandale Local Park New Hampshire Avenue, Silver Spring Maryland. Siku
ya Jumapili Aug 5, 2012
Sikiliza kwa Makini (Audio) ya Kisomo pamoja na Mawaidha ya Bwana Omar kutoka Philadelphia kwa Audio Bofya hapa Hapa
Picha zote na http://www.swahilivilla. blogspot.com/


Toa Maoni Yako:
0 comments: