Baadhi ya wakazi wa eneo la Mbezi kwa Msuguli jijini Dar wakiwa wamepanga foleni ndefu za vyombo vya kutekea maji kwenye moja ya mabomba ya umma. Mabomba hayo ya Umma huwa yanatoa maji kwa zamu ambapo ni Jumatatu na Jumapili tu. Kumekuwa na shida kubwa ya upatikanaji wa huduma za maji kwa matumizi ya nyumbani na shughuli nyingine za wananchi eneo la Mbezi kwa Msuguli na maeneo ya jirani ambapo ndoo huwa wananunu tshs.500/=
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: