Rais wa Liberia, Ellen Sirleaf akikagua gwaride la heshima la kikosi cha Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), baada ya kuwasili leokwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, tayari kuanza ziara ya siku nne nchini. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
Bendera ya Rais na Bendera ya Taifa ya Liberia zikipepea.
Rais wa Liberia, Ellen Sirleaf (kushoto) na Rais Jakaya Kikwete wakiangalia ngoma ya asili baada ya mgeni huyo kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, tayari kuanza ziara ya siku nne nchini.
Toa Maoni Yako:
0 comments: