Afisa Utawala wa Global Publishers, Sudi Kivea (wa kwanza kushoto), akiwa na Meneja Masoko wa kampuni hiyo, Benjamin Mwanambuu (katikati), akimkabidhi kombe hilo ofisa mwandamizi wa polisi wa Kinondoni, Wilbrod Mutafungwa, kituo cha Oyster Bay jijini Dar leo.

KAMPUNI ya Global Publishers Ltd inayochapicha magazeti ya Ijumaa Wikienda, Uwazi, Risasi, Amani, Ijumaa na Championi leo imekabidhi kombe la ligi ya polisi jamii ikiwa mdhamini wa ligi hiyo iliyoanza kutimua vumbi tangu Julai 9 mwaka huu.
(PICHA NA ERICK EVARIST/GPL)
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: