Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimwakilisha Rais Jakaya Mrisho Kikwete, kuongoza kikao cha  Baraza la Mawaziri, kilichofanyika leo mchana, julai 6, 2012 katika ukumbi wa TAMISEMI, mjini Dodoma. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: