Bondia Ramadhani Mbwana kushoto akipambana na Patrick Kimweri wakati wa mchezo wa masumbwi yaliyofanyika Mkoa wa Tanga jana kwa ajili ya kumuenzi na kumchangia bondias Marehemu Magoma Shabani aliefariki Dunia Kimweri alishinda mchezo huo kwa point.
Baadhi ya Mashabiki waliojitokeza katika mpambano wa masumbwi kwa ajili ya kumuenzi bondia Magoma shabani yaliyofanyika jana katika Mkoa wa Tanga.
Bondia mkokwe wa siku nyingi Chales Muhilu 'Spins' ambaye kwa sasa ni Kocha wa Mkoa wa Tanga akifatilia mashindano hayo jana.
Bondia Ramadhani Mbwana kushoto akipambana na Patrick Kimweri wakati wa mchezo wa masumbwi yaliyofanyika Mkoa wa Tanga jana kwa ajili ya kumuenzi na kumchangia bondias Marehemu Magoma Shabani aliefariki Dunia Kimweri alishinda mchezo huo kwa point.
Bondia Yusufu Ally kushoto na Adam Yusufu wakioneshana ufundi wa kutupiana masumbwi wakati wa mchezo huo kwa ajili ya kumkumbuka na kuchangia Bondia Magoma Shabani alifariki Dunia hivi karibuni Mkoa wa Tanga Adamu Yusufu alishinda kwa Point mchezo huo.
MABONDIA patrick kimweri na ramadhani mbwana wakioneshana ufundi wa kutupiana masumbwi wakati wa mpambano wa kumkumbuka na kumchangia bondia Magoma Shabani Aliefariki Dunia Picha na www.superdboxingcoacvh. blogspot.com
Toa Maoni Yako:
0 comments: