Baazi ya Mabondia na Makocha wakisubili kupima uzito kwa mabondia kwa ajili ya Mpambano wa siku ya sabasaba katika tamasha la matumaini.
Bondia Fransic Cheka akipima uzito kwa ajili ya kumkabiri mpizani wake Japhert Kaseba kesho katika uwanja wa Taifa wakati wa Tamasha la matumaini ambapo kutakuwa na burudani mbalimbali mbali.
Mratibu wa mpambano wa ngumi Kaike Siraju katikati akiwainua mikono juu mabondia Japhert Kaseba kushoto na Francis Cheka baada ya kumaliza kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika siku ya sabasaba katika uwanja wa taifa wakati wa Tamasha la Matumaini kwa watanzania litakalokusanya burudani mbali mbali..Picha na www.superdboxingcoach. blogspot.com
Toa Maoni Yako:
0 comments: