Mkurugenzi wa masoko na matukio wa Shirikisho la soka Tanzania (TFF) Jimmy Kabwe akisaini mkataba wa makubaliano ya udhamini wa michuano ya Banc ABC SUP8R Soccer Tournament 2012 inayodhaminiwa na banc ABC kulia kwake ni katibu mkuu wa TFF Angetile Osiah, Mkurugenzi Mkuu wa benki hiyo Boni Nyoni na Mkuu wa Idara ya fedha ya benki hiyo, Mwalimu Zubery. Haflya hiyo imefanyika leo jijini Dar es Salaam makao makuu ya TFF ambapo michuano hiyo itaanza Agosti 4-18
KATIBU mkuu wa Shirikisho la soka Tanzania (TFF) Angetile Osiah akibadilishana nyaraka za mikataba na Mkurugenzi Mkuu wa BancABC Boni Nyoni wakati wa kusaini mkataba wa udhamini wa michuano ya soka ijulikanayo kama Banc ABC SUP8R Soccer Tournament 2012 itakayoanza kutimua vumbi Agosti 4 na kushirikisha timu nane kutoka Tanzania Bara na Visiwani (Picha na http://dinaismail.blogspot.com).
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: