Shukrani sana kwa marafiki wote mliofika kutuunga mkono
Supu ya utumbo ilitawala
Story za hapa na pale ziliendelea
Supu tamu hadi jasho
Friends wakiwa Friends Pub, mimi penda sana nyie, support yenu ni tamu
Friends wakiwaelekeza Friends wengine kwa simu waliokuwa wanakuja Friends Pub
Mashemeji haoooo
Nadhani hawa ni Single Boys ......hahahahaha
Gabriel Mollel, namkubali kwa kazi yake
Vicheko vya furaha vilitawala
Kila mtu na wake
Tamuuuu
La Familia mlitisha
Nyama Choma time
Cute Smile, Jacobo na Kaka Lema
Monica Kaaya mwenye t-shirt nyeupe na nyekundu....La Familia huyo alikuja pia na Group limemzunguka
Pretty
Friends walijitokeza kwa wingi
Wambua Juniour and friends.
Big up kwa walio wakilisha na kwako shem kwa jitihada nzuri za maendeleo na kuwaweka watu pamoja.
ReplyDelete