Eneo la kupata moja baridi na mAoja moto, Nyama choma, Supu aina zote, vyakula vya kila aina, Chips na burudani ya muziki unaokurudisha enzi zile za kina naniliu. Unaweza kupata kutoka eneo hili la Mdau Kajunason mzee wa Mtandao wa Kajunason Blogspot, lililopo eneo la Kinondoni Biafra Block 41.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: