Akinamama wakazi wa kijiji cha Maseyu wilaya ya Morogoro vijijini wakiwa wamebeba Lumbesa la Gunia la Mkaa wakielekea kwenye lori halipo pichani mara baada ya mteja wao kununua katika kijiji hicho kilichopo kando ya barabara kuu Dar es Salaam-MOROGORO ambapo gunia moja huuzwa kiasi cha 12,000 hadi sh 15,000 kulingana na ukubwa wake.
Home
Unlabelled
KAZI NI KAZI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments: