Askari wa kikosi cha usalama barabara mkoa wa Morogoro, Rajab Chimale akisimamaisha lori baada ya kupima mwendo kasi katika kijiji cha Maseyu barabara kuu Dar es Salaam-Morogoro wakati wa utendaji wao wa kazi wa kila siku ambapo katika eneo hilo magari hurusiwa kutembea mwendo usiozidi 20 hadi 50 kutokana na kuwa na makazi ya watu mkoani hapa.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: