Mtangazaji wa Clouds Fm kipindi cha LEO TENA akisoma majina ya watu waliochangia matibabu ya Msanii Sajuki ambaye anasumbuliwa na tumbo kwa muda mrefu. Zoezi hilo lilifanyika leo katika studio za Clouds FM&TV zilizopo Mikocheni jijini Dar es Salaam.

 Mtangazaji wa Clouds FM kipindi cha LEO TENA, Geah Habib akiwa na Simple wa 69Rec na Wastara Juma ambaye ni mke wa Sajuki. Wakifanya

 Simple wa 69Rec akiendesha harambee.
Wastara Juma ambaye ni mke wa Sajuki akiwashukuru wasanii wenzake kwa kuweza kumchangia msanii wa Muziki wa bongoflava Ditto, Msanii wa kundi la Orignal Komedy pamoja na Msanii wa muziki wa bongflava.
Mtangazaji wa Clouds FM kipindi cha LEO TENA, Geah Habib akitilia msisitizo katika harambee hiyo.
Msanii wa bongo movie Tino akiwashukuru waliochangia msanii mwenzao.
---
Ndugu zangu Watanzania popote mlipo ulimwenguni tunaombwa kuisaidia familia hii kwa hali na mali kwa jinsi Mungu atakavyotubariki ili waweze kujikimu na maisha yao ya kila siku ikiwa ni pamoja na kupata pesa za matibabu ya Sajuki yanayotarajiwa kugharimu kiasi cha shilingi milioni 25 za kitanzania.

Kama utaguswa kwa namna yoyote ile unaombwa kutuma mchango wako kupia akauti ya benki ya Wastara au kwa m-pesa kwa namba nitakazozitaja hapa chini.

AKIBA COMMERCIAL BANK, ACC NO. 050000003047, WASTARA JUMA
AU
KWA M-PESA NO. 0762 189592

Asanteni sana kwa ushirikiano wenu Mungu awabariki na azidishe kila mtakapopunguza.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: