Keki
Waheshimiwa wakimuimbia Mheshimiwa Shy-Rose Bhanji kabla ya kukata keki.

 ...Happy Birthday to youuuuuuuuuu..........

Wimbo ukiendelea...

Mbunge wa Kawe kwa tiketi ya Chama cha CHADEMA, Halima Mdee akilishwa keki, Pembeni ni Mbunge wa Viti Maalum Vick Kamata.
 Mbunge wa Singida, Mohamed Dewji nae alikuwepo.
 ...Keki tamuuuuuuuuuuuu
 Waheshimiwa wakifurahi...
 Mbunge wa jimbo la Nzega Dk. Hamis Kigwangalla.
 ...Wapi msanii maarufu wa muziki wa Hip Hop Fid Q nae aliwakilisha vyema.
 ... Watangazaji wa Clouds Fm, Jerald Hando akisubiri keki huku Sophia Kessy akitoa jicho.
 ...Keki tamuuuu
 Marafiki nao waliwakilisha vyema.
 Ankal Michuzi nae aliwakilisha.


William Malecela nae aliwakisha.
Mama wa Mitindo, Asia Adarous akilishwa keki.
...Chief Rumanyika nae hakuwa nyuma.
...Bw&Bibi Kajuna wa Kajunason Blog nao waliwakilisha.
... Bi. Mariam a.k.a Suzy akilishwa keki.
Hapa ni Ester Ulaya na Ester Bulaya wakibadilishana mawili matatu jambo ambali lilionekana ni adimu sana kukutana watu wanaofanana majina.
 Chearssssssssssssssss
Nyumbani Lounge walimzawadia keki
 Akishukuru kupokea keki.
 Zamaradi Mketema akiwa na Mariam a.k.a Suzy
 Utata ulianzia hapa Mbunge Mteule wa Afrika Mashariki Shy-Rose Bhanji akipomkelekea keki Mbunge wa Kawe Halima Mdee... na kuanza kumwambia pokea uikate...
 ...Ahaa mheshimiwa Shy-Rose unataka nitengwe nini??? mimi simooooo hata waandishi wakipiga picha sijaigusa maana hata rangi zake sizielewi elewi hazifanani naza kwetu...

Asante sana labda mpeleee mwenzangu yeye akiigusa sawa tu wala sina matatizo nae ila mimi nitaenda kumsemelea...
 ...Ehe alipofika kwa mwenzake ikabidi yeye asiiangalie kabisa maana alisema rangi zake zinamuumiza macho... hahahahaha 
Mhariri Mtendaji wa gazeti la Tanzania Daima, Absalom Kibanda akitoa shukrani na umpongeza Mheshimiwa Shy-Rose.
Waheshimiwa wakifuatilia kwa makini.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: