Mshereheshaji wa shughuli ya uzinduzi wa programu mpya ya kuhamasisha utumiaji wa vyandarua inayoitwa 'Night Watch' Taji Liundi akiongoza.
Mratibu wa uzinduzi wa 'Nigh Watch' Bi. Sadaka Gandi akiongea na wageni waalikwa.
 Msanii wa Muziki wa kizazi kipya Fid Q akitoa ujumbe.
 Kheri Issa ambaye ni Program Manager- Redcross akitoa ujumbe kwa njia ya TV.
 Fid Q akihutubia kwa njia ya TV.
 Mtangazaji wa Clouds FM ambaye pia ni balozi wa Malaria nchini Tanzania,  Hamis Mandi a.k.a B-12 akihutubia.mama


Wageni waalikwa walifuatilia uzinduzi huo.
Mabalozi wa malaria nchini Tanzania.
Mabalozi wa malaria nchini Tanzania Farid Kubanda a.k.a Fid Q, Hamis Mandi a.k.a B-12 na Mwasiti Almasi.

Mabalozi wa malaria nchini Tanzania Hamis Mandi a.k.a B-12, Mwasiti Almasi, Barnaba na Amini Mwinyimkuu.
Mabalozi wakifuatilia uzinduzi.

 Vijana wa Tanzania House Of Talent wakionyesha vipaji vyao.


 Ujumbe wa Malaria ukitolewa.

 Safi, Zinduka.

 Sikilizeni niwaambie, usipoweka chandarua wakati wa kulala matokeo yake utaumwa na mbu na kuugua malaria, hivyo wageni msisahau kweka vyandarua.

 Vijana wakiendelea kutoa ujumbe.
 Pamoja tunaweza kupambana na malaria.
 Show love nayo haikukosa.
Taji Liundi akimtambulisha Mmoja wa Mabalozi wa Malaria hapa nchini, Msanii Mwasiti Almas. 
Mmoja wa Mabalozi wa Malaria hapa nchini, Msanii Mwasiti Almas akimkabidhi  Muwakilishi wa kampuni ya Exxon Mobil, Michael Finlay,fulana yenye ujumbe wa mradi wa Malaria ZINDUKA,ikiwa ni sehemu ya hamasisho kwa jamii kupapambana ugonjwa huo ambao umekuwa ukisababisha vifo vingi kwa watoto.
Taji Liundi akimkaribisha Muwakilishi wa Kampuni ya Exxon Mobil, Michael Finlay.
wageni waalikwa.
Dr. Ally Mohamed ambaye ni Meneja Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Malaria nchini (NMCP), akihutubia wageni waalikwa waliofika katika uzinduzi wa ujumbe maalum ( Night watch) wa kuwakumbusha/kuikumbusha familia kutumia chandarua wakati wa kulala
Mabalozi wa Malaria nchini wakiwa sambamba na wageni waalikwa na waratibu kwenye picha ya pamoja mara baada ya uzinduzi huo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: