Odama Bendi ikiwajibika katika uzinduzi wa programu mpya ya kuhamasisha utumiaji wa vyandarua inayoitwa 'Night Watch' inayosimamiwa na ZINDUKA.
Meneja Rasilimali Watu wa Tanzania House of Talent Kemmy (kushoto) akiongea na Mkurugenzi wa Msama Promotions Bw. Alex Msama akiwa na mkurugenzi wa Machozi Band na Mgahawa wa Nyumbani Lounge Bw. Gadner G. Habash.
Wageni waalikwa wakibadirisha mawazo.
Mratibu wa uzinduzi wa 'Nigh Watch' Bi. Sadaka Gandi akimuongoza mgeni rasmi wa uzinduzi huo Dr. Ally Mohamed ambaye ni Meneja Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Malaria nchini (NMCP).
Mratibu wa uzinduzi wa 'Nigh Watch' Bi. Sadaka Gandi akiongea na mgeni rasmi wa uzinduzi huo Dr. Ally Mohamed ambaye ni Meneja Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Malaria nchini (NMCP).
Mtangazaji wa Clouds Tv, Shadee akifanya mahojiano na Dr. Ally Mohamed ambaye ni Meneja Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Malaria nchini (NMCP).
Mtangazaji wa Clouds Tv, Shadee akifanya mahojiano na mmoja wa mabalozi wa Malaria nchini Amini Mwinyimkuu.
Hivi sasa ni saa 3 kamili.
Mtangazaji wa Clouds Tv, Shadee akifanya mahojiano na mmoja wa mabalozi wa Malaria nchini Barnaba.
Mtangazaji wa Clouds Tv, Shadee akifanya mahojiano akifanya mahojiano na Mkurugenzi wa Msama Promotions Bw. Alex Msama
Waandishi wa habari wakibadirishana mawazo na Mkurugenzi wa Msama Promotions Bw. Alex Msama.
Meneja Rasilimali Watu wa Tanzania House of Talent (THT), Kemmy (kushoto) akiongea na wageni waalikwa.
Mkurugenzi wa Clouds Media Rugemalila Mutahaba akiwa na wageni waalikwa katika uzinduzi huo.
Mkurugenzi wa Zinduka nchini Tanzania Rebeka Young akiwa na Mratibu wa uzinduzi wa 'Nigh Watch' Bi. Sadaka Gandi
Mtangazaji wa Clouds Tv, Shadee akifanya mahojiano na mmoja wa mabalozi wa Malaria nchini Mwasiti Almasi.
Mtangazaji wa Clouds Tv, Shadee akifanya mahojiano na Mtangazi wa Clouds Fm, Bw. Ruben Ndege.
Mratibu wa uzinduzi wa 'Nigh Watch' Bi. Sadaka Gandi (kushoto) akibadirishana mawili matatu na Meneja Rasilimali Watu wa Tanzania House of Talent (T.H.T), Kemmy pamoja na Mkurugenzi wa Clouds Media Rugemalila Mutahaba.
Mwandishi mwandamizi wa TBC 1 akiongea na mmoja ya wageni waliofika katika uzinduzi huo.
Kajunason,habari ya kazi?nimesoma posti yako umefanya coverage vizuri.Sasa nakuja kwa upannde wa uhalisia wa malaria,sasa hizo ngoma sawa ni nzuri lakini jamii inayoishi katika hali ya umasikini na unayoshambuliwa na malaria sidhani kama ilikuwepo hapo hotelini.Naona kama hii miradi inaishia mifukoni mwa watu tu kukaa kny mahoteli yenye gharama! Samahani kama nitakuna nime raise issue haina uhusiano lakini wakati umefika watu tufanye kazi sio kujionyeshaonyesha tu.Hizo hela si wangeenda kupuliza kny mitaro na sewage zinazovuja huku mitaani mwa jiji la Dar!Ukitaka kujua malaria tunaichezea tembelea sehemu za tandale, kigogo,manzese n.k...kama ni kuzinduka tuzinduke kihalisia....
ReplyDelete