Mwenyekiti wa Umoja wa vijana Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Arusha (UVCCM ), James Ole Milya ametangaza kujiengua katika chama chake.
Baada ya kutangaza amejitoa, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye ameandika hivi katika status yake kwenye mtandao wa jamii (Facebook.)
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: