warembo wanaowania taji la Miss Ukonga 2012, wakiwa katuika picha ya pamoja katika kambi yao ya mazoezi Iliyopo Banana jijini Dar es Salaam. Kitongoji cha Ukonga ndio kitafungua pazia la Mashindano ya Miss Tanzania mwaka huu.
Washiriki wa shindano la Miss Ukonga wakimsikiliza mkufunzi wao Jaquline Chua akiwapa nasaha za namna ya kufanya.
Warembo wakifanya mazoezi ya kucheza mziki wa ufunguzi wa show yao. hakika warembo hawa ni wajuzi.
Baadhi ya warembo wakimwangalia mwezao aliyekuwa akifanya mazoezi ya kutembea.  Picha zote na Father Kidevu Blog.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: