Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wazee wa Dar es salaam leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee hall jijini Dar. Kulia ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilal akifuatuwa na Mkuu wa Mkoa huo Mh Saidi Meck Sadick na shoto ni Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinda akiwa na Mwenyekiti wa wazee wa Dar es salaam Mh Iddi Simba

 Wazee wa Dar es salaam wakimsikiliza Rais Kikwete
 Mwenyekiti wa Wazee wa Mkoa wa Dar es salaam Mh Iddi Simba akitoa kura ya shukrani
 Wanahabari kazini kurekodi tukio hili
 Juu na picha zifuatazo ni Wazee wa Dar wakimsikiliza Rais Kikwete
Picha kwa hisani ya Michuzi Blog.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: