Mwalimu mkuu wa shule moja ya msingi katika eneo la Samburu kaunti ya Kwale anakabiliwa na madai ya kumnajisi na kumpachika mimba msichana wa darasa la nne katika eneo hilo. Mbali na kupachikwa mimba, msichana huyo pia anadai kwamba mwalimu huyo alimsaidia katika kuitoa mimba hiyo na kumuacha akiuguza matatizo ya tumbo baada kitendo hicho.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: