Mpira wa mchangani...ukiendelea
 ...Kikosi cha Clouds Media nacho kiliwakilisha.

Wazee wa TBC
 Mambo ya Tabora Marathoni
 Netball ya mchangani


 Volbal

Hapa Volbal imekolea
 Mpiga picha wa Ofisi ya Makamu wa Rais Muhidin Sufiani (kushoto) akiwa na mdau

Mpiga picha wa Ofisi ya Makamu wa Rais Muhidin Sufiani (kushoto) akiwa na mtangazaji wa Clouds Fm/Tv katika bonanza la waandishi wa habari la mwaka 2012 lililofanyika Msasani jijini Dar es Salaam.

 Kikosi cha Idara ya Habari Maelezo.


Baadhi ya wanamuziki wa bendi ya FM Academia wakiwa jukwaani.
Baadhi ya wanamuziki wa bendi ya FM Academia wakiongozwa na Nyoshi Elisadati a.k.a Rais wa Vijana
Baadhi ya wanenguaji wa bendi ya FM Academia wakiserebuka na waandishi wa habari.
Wacha weeeeeeeee, hapa muziki umenoga kikweli kweli
Hapa ni turuke kimasai
Baadhi ya wanenguaji wa bendi ya FM Academia wakishambulia jukwaani
Mdau John Badi akijaribu kutafuta taswira
...Dah! mnenguaji wa bendi ya FM Academia akiwa jukwaani
Safi
...Ehe! kushoto... kuliaaaaaa
...mpaka chini, mpaka chiniiiiiiiiiiiiii
Kikosi kizima cha Mlimani Radio/Tv kikifurahia

Wanahabari wakijiachia kwa raha zao.
Kutoka kulia ni Khadija Kalili Tanzania Daima/ Bongoweekend.blogspot.com na Mwanamkasi Jumbe kutoka Kampuni ya Mwananchi Communication.
Wanahabari wa Star Tv wakijiachia kwa raha zao
Mhamila Rajabu 'Super D' wa gazeti la Majira akiwa na Asha Bani wa gazeti la Tanzania Daima.
...Washa motooooo
Mwandishi wa gazeti la Tanzania Daima, Chalila akiongoza gurudumu la kucheza.
...Aha! ngoja tucheze kwa raha zetu
...Watu weweeeeeeeeeeeeee
Hata mie niliwakilisha Kajunason Blog nikiwa nimejichanganya na warembo
...hii ni staili ya kuendesha boda boda
...niliamua kujiachia na mimi maana kila siku tunawapiga picha wenzetu tu
...kila mwanahabari alikuwa na furaha
...suala la msosi nalo lilizingatiwa
...mwandishi wa habari kutoka Clouds Fm/Tv Jerome Risasi akiweka mambo sawa
Watoto wa mjengoni Media hawakukosa
...msosi mtamu
Watangazaji wa Clouds Fm/Tv Philip Mwihava a.k.a Baba Justine akiwa Sophia Kessy
WAZIRI wa Ushirikiano  wa Afrika  Mashariki , Samuel Sitta akiwa meza kuu katika hafala inayofanyika mara moja kila mwaka ya Bonanza la Waandishi wa Habari lililofanyika Jumamosi kwenye ufukwe wa Msasani  na kuandaliwa na Chama Cha Waandishi wa Habari (TASWA),  na kudhaminiwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL)ambapo waandishi kutoka katika vyombo mbalimbali walijumuika  pamoja katika Bonanza hilo.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Dogo Aslay kutoka kundi la Fela TMK, akionyesha umahiri wake wakati akitambulishwa jukwaani na kuimba.  
...Wewe nenda kaongeze bia, harafu mpigie naniii umuelekeze amesema anakuja 
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Bibi Cheka kutoka kundi la Fela TMK, akionyesha umahiri wake wakati akitambulishwa jukwaani na kuimba. 
Kila mmoja alitaka kunasa tukio
Mwenyekiti wa TASWA, Juma Pinto akimkaribisha mgeni rasmi. 
Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, akizungumza wakati wa Bonanza la waandishi alipoalikwa kuwa mgeni rasmi katika Tamasha hilo lililofanyika katika ufukwe wa Msasani Beach Club. Mheshimiwa Sitta aliupongeza utaratibu wa waandishi kukutana na kupongezana na kuyataka mashirika na makampuni mengine kujitokeza kudhamini na kuandaa Mabonanza kama ilivyofanya kampuni ya Bia ya TBL, ambapo ameahidi kufanya hivyo katika Wizara yake na kuandaa hafla kama hiyo na waandishi mambo yatakapokamilika. 
Nderemo na vifijo vilitawala
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: