Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt.Haji Mponda, baada ya kufungua mkutano wa siku mbili wa Kimataifa wa kujadili na kubadilishana mawazo kuhusu ufadhili wa mkiradi yenye ufanisi katika nchi saba za Afrika Mashariki, ulioanza leo Machi 6, 2012 jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Kimataifa wa siku wenye lengo la kujadili na kubadilishana mawazo kuhusu ufadhili wa mkiradi yenye ufanisi katika nchi saba za Afrika Mashariki, ulioanza leo Machi 6, 2012 jijini Dar es Salaam. Picha na Muhidin Sufiani- OMR
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: