Mchekeshaji wa maarufu nchini kutoka kundi la Vuvuzela Entertainment, Evans Bukuku akitoa maelezo machache juu ya kipindi chao cha Evans Bukuku's Comedy Cloub kilichozinduliwa jana usiku, katika mgahawa wa Nyumbani Lounge jijini Dar es Salaam. Kipindi kilichozinduliwa kwa kuonyeshwa Clouds TV kitakuwa kikionyeshwa kila Jumatatu kuanzia saa 3 usiku na marudio yake yatakuwa kila Jumamosi saa 8mchana.

Mchekeshaji wa maarufu nchini kutoka kundi la Vuvuzela Entertainment, Evans Bukuku akiwa pamoja na wageni wake.
Wageni walialikwa kutoka Clouds Fm&Tv Wasiwasi Mwabulambo, Arnold Kayanda, Abuu.

Mmoja ya watangazaji katika kipindi cha Evans Bukuku's Comedy Club, Taji Liundi akiwa na warembo.

Ilikuwa ni full uhondo kwa hao wachekeshaji wenyewe
Mchekeshaji wa maarufu nchini kutoka kundi la Vuvuzela Entertainment, Evans Bukuku akiwatambulisha wachekeshaji wenzake wanaounda kundi hilo katika uzinduzi wa kipindi uliofanyika Nyumbani Lounge, jijini Dar es Salaa.
...Huyu ndiyo kijana machachali katika upande wa vunja kero.
Evans akionyesha vitu vyake.
Kiongozi wa kundi la Vuvuzela Entertainment, Jacob Mwakamele akielezea machache mbele ya wageni waliokuwa wamealikwa katika uzinduzi huo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: