Mashindano ya Kilimanjario Marathon 2012 yamemalizika hivi punde katika mji wa Moshi ambapo wakimbiaji kutoka nchini Kenya wametia fora katika mashindano haya yaliotimiza miaka kumi kwa kunyakua medali zote za Dhahabu, fedha na shaba huku watanzania wakiambulia moja ya shaba.

Pichani ni kundi la wakimbiaji wa Kenya Kilometa 42 wanawake, wakikimbia kwa pamoja na hatimaye kufanikiwa kushinda mbio hizo. Picha na FATHER KIDEVU BLOG
 Wakimbiaji wasio washindani wakikimbia mbio za kililometa 21
 Wakimbiaji wa Mbio za Vodacom Fun Run wakikimbia mbio hizo
 Wadau kutoka Precision Air nao walishiriki katika mbio za Fun Run
 Mgeni rasmi , Waziri wa Habari Utamaduni, Vijana na Michezo, Dk. Emmanuel Nchimbi (kulia) akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama uwanjani.
  Madam Ritta akimpongeza Binti yake kwa kumaliza mbio za 21KM salama.
  Mkuu wa Wilaya ya Arusha akitafakari kabla ya kupokea maji mara baada ya kumaliza kilometa 10 za mwanzo kati ya 21 .
Kukimbia ni kazi kama kazi zingine na mkimbiaji unahitajika kuwa na nguvu na pumzi ya kutosha.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: